Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na Naibu Katibu
Mkuu wa CCM Zanzibar,Ndg Vuai Ali Vuai, wakati akiwasili katika viwanja
vya mpira Gando Wete Pemba kuhudhuria mkutano wa kampeni ya Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wazee wa Gando
alipowasili katika viwanja vya mpira gando Wilaya ya Wete Pemba
kuendelea na mikutano yake ya Kampeni Kisiwani Pemba.
Wanachama
wa CCM wakimshangilia Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali
Mohamed Shein, alipowasili katika viwanja vya mkutano Jimbo la Gando
Wilaya ya Wete Pemba.
Kada wa CCM Balozi Amina Salum Ali kulia akizungumza na Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Maua Daftari wakiwa katika viwanja vya Gando
wakihudhuria mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali
Mohamed Shein.
Wanachama
wa CCM Jimbo la Gando Pemba wakifuatilia Mkutano wa Mgombea Urais wa
Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika viwanja vya mpira
Gando Pemba.
Mgombea
Urais wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, akibadilisha mawazo na Mwenyekiti wa
CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Ndg. Hamad Mberwa Hamad. Dk Shein akiwa
katika ziara yake ya mikutano ya kampeni ya kuomba ridhaa za Wananchi
kumchagua kwa mara ya pili kuiongoza Zanzibar.
Wasanii
wa Kikundi cha Profesa Gogo wakitowa burudani kwa Wananchi katika
mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein,
uliofanyika katika viwanja vya mpira Gando Wete Pemba.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Ndg. Hamad Mberwa Hamad, akizungumza
wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM,na
kutowa shukrani za Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba kwa kazi nzuri
iliofanywa na Dk Shein, katika kipindi chake cha miaka mitano
inayomalizika na kuwata Wananchi kumpa kura za Ndio ili kuiletea
maendeleo Zanzibar.
Wanachama
wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais
wa Zanzibar katika viwanja vya mpira Gando Pemba.
Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM Bi Modline Castico akiwahutubia Wananchi wa
Jimbo la Gando kisiwani Pemba wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika viwanja vya
mpira Gando Wilaya ya Wete Pemba.
Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Pandu Ameir Kificho akiwahutubia Wananchi
wa Wilaya ya Wete Pemba Jimbo la Gando wakati wa Mkutano wa Kampeni ya
Mgombea wa Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein.
Wanachama
wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa
CCM Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya mpira Gando.
Mgombea
Urais wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Jimbo la Gando
wakati wa ziara yake ya kampeni ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia
CCM, akitangaza Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa kipindi cha miaka mitano
ijayo.katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya mpira Gando
Pemba.
Wanachama
wa CCM wakifuatilia hutuba ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed
Shein,akiwa katika mikutano yake ya Kampeni Kisiwani Pemba.
Wananchi
wakiwa makini wakimsikiliza Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
akiwahutubia na kuelezea Sera za CCM kupitia Ilani ya Uchaguzi ya
CCM.ikiwa na mikakati ya kuboresha hali za Wananchi wa Zanzibar na
kuimarisha Uchumi katika sekta mbalimbali.
Wanachama
wa CCM wakimshangilia Mgombea wa Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed
Shein, wakati akihutubia umati wa Wananchi wa Wilaya ya Gando Jimbo la
Gando Pemba.
Mgombea
Urais wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Gando
akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake wa Kampeni Kisiwani Pemba.
Mgombea
Urais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akiwatambulisha Wagombea
Ubunge wa CCM Wilaya ya Wete Pemba wakati wa Mkutano wake wa Kampeni
uliofanyika katika viwanja vya mpira Gando Pemba.
Mgombea
Urais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akiwatambulisha Wagombea
Uwakilishi wa CCM Wilaya ya Wete Pemba wakati wa Mkutano wake wa Kampeni
uliofanyika katika viwanja vya mpira Gando Pemba.
Mgombea
Urais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akiwatambulisha Wagombea
Udiwani wa CCM Wilaya ya Wete Pemba wakati wa Mkutano wake wa Kampeni
uliofanyika katika viwanja vya mpira Gando Pemba.