Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akishuka
kwenye ndege baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Zanzibar
leo, kwa ajili ya mkutano wa kampeni utakaofanyika jioni hii kwenye
Viwanja vya Demokrasia au Kibanda maiti.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akilakiwa
na Mume wake, Hafidh Ameir, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini
Zanzibar leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Vuai Ali
Vuai.
Mgombea
Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Mjukuu
wake, Hamiar Ameir, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini Zanzibar leo
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tikei ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana
na Msanii wa Bongo Movie alioko katika kundi la kampeni za CCM la ‘Mama
Ongea na Mwanao’ Wema Sepetu alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege mjini
Zanzibar leo
Baadhi
ya viongozi wa CCM wakisubiri kwa hamu kusalimiana na Mgombea Mwenza wa
Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kwenye
Uwanja wa Ndege Mjini Zanzibar leo
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwasalimia baadhi ya viongozi alipowasili Uwanja wa Ndege Mjini
Zanzibar leo
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwasalimia baadhi ya wasanii wa Bongo Movie alipowasili Uwanja wa
Ndege Mjini Zanzibar leo
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na
Mwenyeji wake, Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar Vuai Ali Vuai
(Kushoto), baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini Zanzibar leo
Share this
EmoticonEmoticon