Vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi ambao unatarajiwa kufanyika
Jumapili Oct, 25 kila kimoja kifafanya kampeni za kila aina ya staili
ili kuhakikisha unavuna wapiga kura. Tanga kumekuwa na hamasa kubwa kila
kona na wagombea wamekuwa wakitumia staili tofauti tofauti hata ya
kutundika bendere za vyama katika nguzio za mataa ya barabarani.
Hizi ni picha sita barabara ya Taifa road Ngamiani Tanga ilipokuwa stendi ya zamani ya mabasi yaendayo Mikoani ambapo imepembwa na bendera za Chadema.
Hizi ni picha sita barabara ya Taifa road Ngamiani Tanga ilipokuwa stendi ya zamani ya mabasi yaendayo Mikoani ambapo imepembwa na bendera za Chadema.
EmoticonEmoticon