Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi
na wanachama wa CCM Jimbo la Mtopepo katika mkutano wa kampeni
zinazoendelea katika uwanja wa Garagara Wilaya ya Magharibi A Unguja
Septemba 28, 2015
Picha zote na Ikulu.
Mke
wa Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Rais wa Kwanza Mama Fatma Karume
akiwaombea kura wagombea wa nafasi za Uongozi kupitia chama cha
Mapinduzi alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanaCCM katika mkutano wa
hadhara wa Kampeni za CCM katika Uwanja wa Garagara Wilaya ya Magharibi
A Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC na Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na
Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban alipokuwa akiwaombea kura Wagombea
nafasi za Uongozi katika Chama cha Mapinduzi CCM wakati wa Uchaguzi
Mkuu ukifika,jimbo la Mtopepo leo katika mkutano wa kampeni
zinazoendelea,uwanja wa Garagara Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Unguja CCM Yussuf Mohamed Yussuf
wakati wa Mkutano wa hadhara kampeni za CCM jimbo la Mtopepo katika
uwanja wa Garagara Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha
Mapinduzi wakisikiliza sera zilizokuwa zikitolewa na Mgombea Urais wa
Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein jimbo la Mtopepo leo katika mkutano wa kampeni
zinazoendelea,uwanja wa Garagara Wilaya ya Magharibi A Unguja.
WanaCCM na Wapenzi wa Chama hicho wakinyoosha mikono juu kumuuunga kama ishara ya kuwachagua wagombea wa CCM wakati Mgombea
Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein jimbo la Mtopepo leo katika mkutano wa kampeni zinazoendelea,uwanja wa Garagara Wilaya ya Magharibi A Unguja.
WanaCCM na Wapenzi wa Chama hicho wakisikiliza sera zilizokuwa zikitolewa na Mgombea
Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein Jimbo la Mtopepo leo katika mkutano wa kampeni zinazoendelea,uwanja wa Garagara Wilaya ya Magharibi A Unguja
EmoticonEmoticon