Rais Jakaya Kikwete
akimuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali
Charles Lawrence Makakala katika hafla iliyofanyika leo Ijumaa Agosti
21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Jakayta Kikwete akimkabidhi
nyaraka za kazi Balozi Mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali
Charles Lawrence Makakala katika hafla iliyofanyika leo Ijumaa Agosti
21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Viongozi waandamizi wa Vyombo vya
Ulinzi wakibadilishana mawazo wakati wa hafla ya kumuapisha Balozi mpya
wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jerenali Charles Lawrence Makakala,
leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mpya wa
Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala mara
baada ya kumuapisha leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es
Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika
picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni
Jenerali Charles Lawrence Makakala (wa tatu kushoto) pamoja na familia
yake mara baada ya baada ya kumuapisha leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu
Jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika
picha ya pamoja na Viongozi Waandamizi wa Vyombo vya Ulinzi pamoja na
Balozi Mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence
Makakala mara baada ya kumuapisha iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es
Salaam leo Ijumaa Agosti 21, 2015.
Rais Jakaya Kikwete akibadilisha
mawazo na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali
Charles Lawrence Makakala mara baada ya baada ya kumuapisha leo Ijumaa
Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi
Juma Maalim na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.
PICHA NA ISMAIL NGAYONGA.