Msafara wa wana ccm- Ubungo wakimsindikiza Dk Masaburi kwa Dk Magufuli

August 24, 2015

x3
Msafara wa Dk Masaburi ukielekea Jangwani na kuacha simulizi maeneo yote ya Manzese na Magomeni.
x1
Wanachama wa CCM, Jimbo la Ubungo wakielekea viwanja vya Jangwani wakiongoza msafara wa mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM, Dk Didas Masaburi.
x2 
Gari la shamrashamra lenye picha za Dk John Magufuli na Dk Didas Masaburi likiwa na kauli mbiu chagua Double M.
x4
Dk Didas Masaburi akiwa katika gari la wazi kuelekea Jangwani kwenye kampeni za Dk Magufuli.
x5
Mrs Masaburi pia hakubaki nyuma kwenda kumshangilia Dk Magufuli Jangwani.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »