Wafanyakazi wa Access Benki, Catherine Gyumi akielezea machache wakati akihojiwa na Channel 10 kuelezea huduma wanazozitoa ndani ya banda lao namba nne lililoko katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Bi. Gyumi alisema kwa sasa benki yao imeanzisha huduma ya 'ACCESSBANK WAKALA' wanaomrahisishia mteja kutoa na kuweka pesa akiwa mtaani kwake hakuna haja ya kwenda benki. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.
Afisa Mikopo wa Access Benki, Mwajabu Mhone akielezea machache wakati akihojiwa na Channel 10 kuelezea huduma wanazozitoa ndani ya banda lao namba nne lililoko katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Ambapo Mhone aliwaomba watanzania kufika bandani kwao ili kujipatia mikopo ya chap chap inayotolewa kwa wajasiliamali wadogo na wakubwa.
Afisa Masoko Msaidizi wa Access Benki, Humphrey Masudi akiwaomba watanzania wateja wa benki hiyo kuitumia kikamilifu huduma ya 'RAHISI' inayomsaidia mteja kuweza kutoa na kuweka pesa popote alipo kupitia simu yake ya mkononi... piga *150*43# wakati akihojiwa na Channel 10 ndani ya banda lao namba nne lililoko katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Pembeni kulia ni Ofisa Masoko wa benki hiyo, Sijaona Simon.
Afisa Masoko Msaidizi wa Access Benki, Humphrey Masudi akiwaomba watanzania wateja wa benki hiyo kuitumia kikamilifu huduma ya 'RAHISI' inayomsaidia mteja kuweza kutoa na kuweka pesa popote alipo kupitia simu yake ya mkononi... piga *150*43# wakati akihojiwa na Channel 10 ndani ya banda lao namba nne lililoko katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Access Benki wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembelewa na Kamera ya Kajunason Blog.
Wafanyakazi wa Access Benki wakisuburi kuhudumia wateja.
Kila mmoja akiweka mambo sawa....
Afisa Masoko Msaidizi wa Access Benki, Humphrey Masudi akiulizwa swali na mmoja ya wateja aliyetembea bandani kwao.
EmoticonEmoticon