Taarifa
za kutoka ndani za kikao cha Maadili kinachoendelea hivi sasa mjini
Dodoma kimeonyesha njia Salama kwa baadhi ya Makada wa CCM na pia kuwa
kichungu kwa Wengine. Makada wa ccm waliopeta kwa urahisi ni Edward
Lowassa, Gharibu Bilal na Asha Rose Migiro.
Makada walio kutana na
kikwazo cha kamati ya Maadili ni Bernad Membe ambaye Amekutwa na tuhuma
za Rushwa zisizo na kificho katika mtanange wa kusaka Udhamini. Taarifa
ya Usalama na TAKUKURU ambao ni walikwa zimefanana bila hiana kwa Baadhi
ya Wagombea ambao walidiriki kutumia Rushwa kupata wadhamini wameanikwa
bila kificho mkoa kwa mkoa,
crdt:blog ya wananchi
EmoticonEmoticon