Waziri wa Utalii Zanzibar Said Ali Mbarouk akutana na Mkurugenzi wa Kituo cha Kukuza Utalii kati ya India na Zanzibar

June 01, 2015

1
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Said Ali Mbarouk akimueleza  jambo Mkurugenzi wa Kituo cha Kukuza Utalii  kati ya India na Zanzibar Jilesh Babla (hayupo pichani) walipokuwa na mazungumzo  Ofisini kwake Kikwajuni.(Picha Na Miza Othman- Maelezo Zanzibar).
2
Waandishi wa Habari wakifuatilia  habari hizo kwa makini katika Ofisi ya Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar.( Picha Na Miza Othman- Maelezo Zanzibar)                                             
3
Mkurugenzi wa  wa Kituo cha Utalii kati ya India na Zanzibar Jilesh Babla  akiwapamoja na   Mkurugezi wa Utumishi wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Joseph Kilangi wakati wa mazungumzo hayo.(Picha Na Miza Othman- Maelezo Zanzibar).
4
Picha ya pamoja   ya Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Said Ali Mbarouk (katikati) pamoja na Mgeni wake   Jilesh Babla  (kushoto) na Mkurugenzi wa Utumishi wa Wizara hiyo Joseph Kilang.(Picha Na Miza Othman- Maelezo Zanzibar).

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »