Rais Kikwete awasili Arusha kuongoza maadhimisho ya Siku ya Albino

June 13, 2015

mail.google.comMwenyekiti wa Chama Cha Albino Tanzania,  Ernest Kimaya akimkaribisha Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) muda mfupi baada ya kuwasili leo jioni. Rais Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya kimataifa wa Albino itakayofanyika katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid.kushoto no Bwana Godson Molel mwenyekiti wa Chama cha Albino Mkoa wa Arusha.
(picha na Freddy Maro)

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »