Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi
aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu-Juni 29, 2015.
picha na Freddy Maro
Baadhi ya watoto yatima kutoka
katika vituo mbalimbali vya malezi mkoa wa Dar es Salaam wakipata futari
katika viwanja vya ikulu.
EmoticonEmoticon