Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama
cha Mapinduzi CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Fomu zake za
kuwania urais, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Rajab Luhwavi,
wakati alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu wa CCM mjini Dodoma leo
kwa ajili ya kurejesha Fomu za kuwania urais katika uchaguzi Mkuu
unaotarajia kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu. Kulia ni Mke wa Makamu wa
Rais Mama Zakia Bilal.
Picha zote na OMR
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama
cha Mapinduzi CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye pia ni Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipongezwa na Waziri wake wa
Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dkt. Binith Mahenge, baada ya
kurejesha Fomu za kuwania urais, katika Ofisi za Makao Makuu wa CCM
mjini Dodoma leo juni 15, 2015 kwa. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais
Mama Zakia Bilal.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama
cha Mapinduzi CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waandishi
wa habari mara baada ya kurejesha fomu katika Ofisi za Makao Makuu ya
CCM, mjini Dodoma leo Juni 15, 2015.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama
cha Mapinduzi CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipunga mkono
kuwasalimia wanachama wa CCM, wakati akitoka kwe ye Ukumbi wa CCM Makao
Makuu mjini Dodoma leo, wakati alipotoka kurejesha Fomu za kuwania
urais katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu.
Nyumba yake ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilal.
EmoticonEmoticon