Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff
Hamad ikulu jijini Dar es Salaam
(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Maalim Seif Shariff Hamad ikulu jijini Dar es Salaam.
EmoticonEmoticon