Makamau
wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifungua Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi
za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo Mei 25 kwenye
Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya washiriki waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia, kufungua rasmi mkutano wa
tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa
Barani Afrika, uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini
Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
(katikati), akifurahia jambo na baadhi ya Viongozi wakati wa ufunguzi wa
mkutano huo,uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es
Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo baada ya
kufungua rasmi leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dkt. Edward Hosea, baada ya
kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa
Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo Hoteli ya
Bahari Beach, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
EmoticonEmoticon