Mkurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo
akielekeza jambo wakati wa ziara yake aliyoifanya kwenye mradi wa nyumba
za gharama nafuu Masasi, mkoani Mtwara ambapo pamoja na mambo mengine
amesifu kasi ya ujezi wa nyumba hizo unaozingatia viwango na muda na
akawataka wafanyakazi wa NHC kuchapa kazi ili kufikia malengo yao
waliyojiwekea. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa NHC, Felix Maagi, wa pili
ni Eliaisa Keenja wa NHC, Meneja wa NHC mkoa wa Mtwara, Joseph John na
Injinia wa mradi huo Leonard Kazoba.
Mkurugenzi
wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akimsikiliza
Mhandisi wa mradi huo Leonard Kazoba wakati wa ziara yake aliyoifanya
kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani Mtwara.

Baadhi ya Nyumba za gharama nafuu Masasi zilizoko mkoani Mtwara.
Mkurugenzi
wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akiendelea na
ziara yake aliyoifanya kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi,
mkoani Mtwara.
Baadhi ya Nyumba za gharama nafuu Masasi zilizoko mkoani Mtwara.
Baadhi ya Nyumba za gharama nafuu Masasi zilizoko mkoani Mtwara.
Baadhi ya Nyumba za gharama nafuu Masasi zilizoko mkoani Mtwara.
Mkurugenzi
wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akimsikiliza
Mhandisi wa mradi huo Leonard Kazoba wakati wa ziara yake aliyoifanya
kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani Mtwara.
Mkurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akitoa
maelekezo kwa menejimenti na wafanyakazi wa Shirika hilo wakati wa ziara
yake aliyoifanya kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani
Mtwara.
Mkurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo
akimsikiliza Mhandisi wa mradi huo Leonard Kazoba wakati wa ziara yake
aliyoifanya kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani
Mtwara.
Mkurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo
akiendelea na ziara yake katika mradi wa nyumba za ghorofa za NHC
Shangani Apartments zilizopo katika eneo la Shangani mjini Mtwara,
nyumba hizo zipo katika hatua za mwisho za kukamilika.

Mojawapo
ya majengo katika nyumba za ghorofa za NHC Shangani Apartments
zilizopo katika eneo la Shangani mjini Mtwara, nyumba hizo zipo katika
hatua za mwisho za kukamilika.
Mojawapo ya majengo katika nyumba za ghorofa za NHC Shangani Apartments
zilizopo katika eneo la Shangani mjini Mtwara, nyumba hizo zipo katika
hatua za mwisho za kukamilika.
Mojawapo
ya majengo katika nyumba za ghorofa za NHC Shangani Apartments
zilizopo katika eneo la Shangani mjini Mtwara, nyumba hizo zipo katika
hatua za mwisho za kukamilika
EmoticonEmoticon