Rais
wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCPHR)yenye makao yake jijini
Arusha,Jaji Mstaafu wa Tanzania,Augustino
Ramadhani(katikati)akizungumza katika hafla ya chakula cha jioni
kilichondaliwa na taasisi ya Pan African Lawyers Union(PALU)kushoto ni
Afisa Mtendaji Mkuu wa PALU,Donald Deya na kulia ni Mkuu wa mawasiliano
wa AfCPHR,Sukhdev Chatbar.
Waandishi wa habari kutoka nchi mbalimbali za Afrika Mashariki wakisikiliza hotuba fupi ya Jaji Augustino Ramadhani.
Baadhi
ya maafisa wa AfCPHR,PALU na waandishi wa habari wakifatilia hafla
hiyo.
4.Mwandishi wa habari wa siku nyingi ambaye alikua mwezeshaji Mkuu
katika mafunzo ya waandishi wa habari ,Jenerali Ulimwengu(kushoto)akiwa
amejumuika na waandishi wa habari.
Waandishi wa habari wakifurahia moja ya picha ya tukio la hafla ya chakula cha jioni kwenye ofisi za PALU.
Waandishi wa habari wakifurahia moja ya picha ya tukio la hafla ya chakula cha jioni kwenye ofisi za PALU.
Rais
wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCPHR)yenye makao yake jijini
Arusha,Jaji Mstaafu wa Tanzania,Augustino Ramadhani(Kulia)akimkabidhi
cheti cha kushiriki mafunzo ya namna Mahakama ya Afrika na Haki za
Binadamu inavyofanya kazi zake mwandishi wa habari wa IPP,Asraji Mvungi.
Rais
wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCPHR)yenye makao yake jijini
Arusha,Jaji Mstaafu wa Tanzania,Augustino Ramadhani(Kulia)akimkabidhi
cheti cha kushiriki mafunzo ya namna Mahakama ya Afrika na Haki za
Binadamu inavyofanya kazi zake mwandishi wa habari wa gazeti la New
Vision nchini Uganda,Mosses Warugembe.
Habari Picha na www.rweyemamuinfo.blogspot.com
EmoticonEmoticon