Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Ezekiel Oluwochi akiwasilisha mada ya
kwa wanafunzi hao na kuwasisitizia umuhimu wa kuwa mfano wa kuigwa kwa
jamii inayowazunguka.
Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya
Jamii (CHF) akiwasilisha mada kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Arusha,
ambapo aliwahakiikishia wanafunzi hao kuwa Mfuko umejipanga kuendelea
kutoa huduma bora kwa wanachama.
Aidha amewashauri wanafunzi hao wajiunge na Mfuko huo mara baada ya kuhitimu mafunzo yao ili kujihakikishia kupata huduma bora za matibabu wao na familia zao.
Aidha amewashauri wanafunzi hao wajiunge na Mfuko huo mara baada ya kuhitimu mafunzo yao ili kujihakikishia kupata huduma bora za matibabu wao na familia zao.
Umati wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Arusha wakifuatilia mada katika semina hiyo.
EmoticonEmoticon