Mshindi wa mwisho wa shindano la
“Tutoke na Serengeti” Bw.Gabriel Robert Moriale (Kulia) akiwa na kaka
yake Bw.Joshua Robert Moriale (Kushoto) walipowasili mamlaka ya hifadhi
ya Ngorongoro jijini Arusha tayari kwa kuanza safari ya kwenda Hifadhi
ya Taifa ya Serengeti kukamilisha mtoko wao wa siku tatu ndani ya
hifadhi hiyo. Robert aliibuka mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani”
baada ya kushiriki kwenye kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyoendeshwa
na kampuni ya bia ya Serengeti kwa ushirikiano na BPESA kwa takriban
miezi(4) ambapo washindi walijinyakulia zawadi nyingine kama Limo Bajaj,
fedha taslim, Bia za bure sambamba na punguzo la Tsh.300 kwenye bia ya
Serengeti Premium.
Mshindi wa mwisho wa shindano la “Tutoke
na Serengeti” Bw. Robert Gabriel Moriale wa pili (Kushoto) aliyeongozana
na mdogo wake Bw. Joshua Robert (Wa kwanza kulia) wakitalii ndani ya
Ngorongoro na kupata maelekezo kutoka kwa mwelekezi (Tour guide) kabla
ya kuanza safari ya kwenda Serengeti national park. Bw. Robert aliibuka
mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani” baada ya kushiriki kwenye
kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyokua ikiendeshwa na kampuni ya bia
ya Serengeti kwa ushirikiano na BPESA kwa takriban miezi(4) ambapo
washindi walijinyakulia zawadi nyingine kama Limo Bajaj, fedha taslim,
Bia za bure sambamba na punguzo la Tsh.300 kwenye bia ya Serengeti
Premium.
Ndugu wa mshindi wa “Mtoko wa
Mbugani” ajulikanaye kwa jina la Joshua Robert akimpiga picha simba
ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwenye mtoko wao wa siku tatu
ndani ya hifadhi hiyo.Joshua alimsindikiza kaka yake Bw.Gabriel Robert
aliyeibuka mshindi wa mwisho wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani” baada ya
kushiriki kwenye kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyokua ikiendeshwa
na kampuni ya bia ya Serengeti kwa ushirikiano na BPESA kwa takriban
miezi(4) ambapo washindi walijinyakulia zawadi nyingine kama Limo Bajaj,
fedha taslim, Bia za bure sambamba na punguzo la Tsh.300 kwenye bia ya
Serengeti Premium.
Mshindi wa mwisho wa shindano la
“Tutoke na Serengeti” Bw.Gabriel Robert Moriale akiangalia kundi kubwa
la wanyama aina ya pundamilia katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti
wakati wa kukamilisha mtoko wao wa siku tatu ndani ya hifadhi hiyo.
Robert aliibuka mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani” baada ya
kushiriki kwenye kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyokua ikiendeshwa
na kampuni ya bia ya Serengeti kwa ushirikiano na BPESA kwa takriban
miezi(4) ambapo washindi walijinyakulia zawadi nyingine kama Limo Bajaj,
fedha taslim, Bia za bure sambamba na punguzo la Tsh.300 kwenye bia ya
Serengeti Premium.
Mshindi wa mwisho wa shindano la
“Tutoke na Serengeti” Bw. Robert Gabriel Moriale (Kulia) aliyeongozana
na mdogo wake Bw. Joshua Robert (Kushoto) wakifuruahia bia ya Serengeti
Premium wakati wakitalii ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti wakati
wa kukamilisha mtoko wa siku tatu ndani ya hifadhi hiyo. Bw. Robert
aliibuka mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani” baada ya kushiriki
kwenye kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyokua ikiendeshwa na kampuni
ya bia ya Serengeti kwa ushirikiano na BPESA kwa takriban miezi(4)
ambapo washindi walijinyakulia zawadi nyingine kama Limo Bajaj, fedha
taslim, Bia za bure sambamba na punguzo la Tsh.300 kwenye bia ya
Serengeti Premium.
EmoticonEmoticon