WAZIRI MKUU WA ZAMANI MH. EDWARD LOWASSA AWAPONGEZA KINANA NA NAPE KWA KAZI WANAYOKIFANYIA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

March 14, 2015
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Mh. Edward Lowassa wakati alipowasili katika eneo la mapokezi Makuyuni Monduli mkoani Arusha akianza rasmi ziara ya mkoa huo baada ya kumaliza ziara kama hiyo mkoani Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa viti maalum kupitia CCM Ndugu Namelok Sokoine wakati alipowasili katika mji wa Makuyuni wilayani Monduli.  4 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika mji wa mji wa Makuyuni wilayani Monduli. 8 
Nape Nnauye akizungumza na wafanyakazi wa Tanesco mkoani  katika kijiji cha Lolkisale wilayani Monduli mkoani Arusha wakati msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ulipowasili kijijini Hapo.  11 
aadhi ya akina mama wa kimasai wakiwa katika mkutano uliofanyika katika kijiji cha Lolkisale. 13 
Mbunge wa viti maalum kupitia CCM mkoani Arusha Namelok Sokoine akisalimiana na wananchi waliofika kumpokea Ndugu Kinana. 20 
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM Mkoani Arusha Mh. Catherine Magige akisalimiana na wananchi. 21 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano huo uliofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Mtowambu 27 
Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo. 28 
Mbunge wa jimbo la Monduli Mh. Edward Loawassa akijadili jambo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »