Waziri wa Maliasili na Utalii
Lazaro Nyalandu, akiwahutubia wanafunzi wenzake waliosoma katika shule
ya Ilboru ya Arusha katika chakula cha usiku kilichoandaliwa rasmi
kuchangia ukarabati wa majengo cha shule hiyo . Hafla hiyo ilifanyika
mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. .
Wanajumuiya ya wanafunzi waliosoma
katika shule ya Ilboru wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii,
Lazaro Nyalandu, alipokuwa akiwahutubia katika chakula cha hisani cha
kuchangia ukarabati majengo ya shule hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar
es Salaam.
Mkuu wa kitengo cha Masoko Mfuko
wa Pensheni cha GEPF, Aloyce Ntukamazina, akizungumzia unufaikaji wa
mafao ya mfuko huo [pindi unapojiunga nao wanajumuiya ya wanafunzi
waliosoma katika shule ya Ilboru waliokutana katika chakula cha jioni
kuchangia ukarabati wa majengo ya shule hiyo yaliyochakaa kupita kipimo.
Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.
EmoticonEmoticon