Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga,
mkoani Pwani, Luteni Mstaafu Abdallah Kihato (wa pili kulia), akipokea
Hundi ya Sh. Milioni 56 kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL) Kanda ya Kusini, Bw. Victor Kavishe (wa pili kushoto) kwa
ajili ya kusaidia mradi wa maji katika Kijiji cha Magoza, kilichoko
Kata ya Kiparang’anda. Kushoto ni Meneja Mahusiano wa TBL, Bi. Emma Urio
na Diwani wa Kata hiyo, Bi. KAru Karapina. (Na Mpigapicha Wetu)
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Kanda ya Kusini, Bw. Victor Kavishe (wa pili kushoto,
akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani, Luteni Mstaafu
Abdallah Kihato, Hundi ya Sh. Milioni 56 zilizotolewa na Kampuni hiyo
kwa ajili ya kusaidia mradi wa Maji katika Kijiji cha Magoza, kilichoko
Kata ya Kiparang’anda. Kushoto ni Mkuu wa Mahusiano TBL,Bi. Emma Urio na Diwani wa Kata hiyo, Bi. Karu Karavina.
(Na Mpigapicha Wetu)
Akionesha Hundi aliyopewa na TBL
Diwani wa Kata ya Kiparang’anda,
iliyoko Mkuranga, mkoani Pwani, Bi. Karu Karavina akiishuikuru Kampuni
ya Bia Tanzania (TBL), baada kampuni hiyo kutoa Hundi ya Sh. Milioni 56
za mradi wa maji katika kijiji cha Magoza.. Walioketi kutoka kulia ni
Mkuu wa Wilaya hiyo, Luteni Mstaafu Abdallah Kihato na Meneja Uhusiano
TBL, Emma Urio.
Afisa Uhusiano wa TBL. Bi. Doris
Malulu akiungana na kinamama wa Kijiji cha Magoza kuomba dua ili maji
yapatikane katika kijiji hicho.
Meneja Mahusiano wa Kampuni ya
Bia Tanzania (TBL), Bi. Emma Urio akizungumza na wananchi wa Magoza,
kabla ya kampuni hiyo kukabidhi sh. milioni 56 za mradi wa maji.
Mkurugenzi wa Kampuni ya GCL, Bw.
Gerald Mosha (kushoto) akiomba dua pamoja na wananchi wa Kijiji cha
Magoza kwa ajili ya kufanikisha mradi wa maji.
Diwani wa Kata ya Kiparang’anda
Bi. Karu Karapina akikabidhi zawadi mbalimbali zilizotolewa na wananchi
wa Magoza kwa ajili ya TBL.