KINANA AWASILI MOSHI VIJIJINI KWA KISHINDO, MSAFARA WAKE WAPOKELEWA NA FARASI

March 24, 2015

Msafara wa katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukipokelewa kwa farasi wakati alipowasili katika kijiji cha Mikocheni TPC wakati alipoanza ziara yake ya kukagua na kusimamia ilani ya uchaguzi ya CCM katika jimbo la Moshi Vijijini akitokea jimbo la hai ambapo alimaliza ziara kama hiyo jana, Kinana akiwa katika jimbo la Moshi vijijini atashiriki shughuli mbalimbali za maendeleo pamoja na wananchi na kuhimiza uhai wa Chama Cha Mapinduzi CCM jimboni humo akiongozana na Nape Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MOSHI VIJIJINI- KILIMANJARO) 3 4 
Farasi wakiongoza msafara huo ulipowasili kijiji cha Mikocheni TPC Moshi vjijini. 5 
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akisalimiana na Mbunge wa viti maalum kutoka mkoa wa Kilimanjaro Mh. Betty Machangu. 7 
Msafara wa katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Mbunge wa jimbo la Moshi Vijijini Mh. Cyril Chami kulia wakati alipowasili katika kijiji cha Mikochenzi. 8 
Umati wa wananchi wakimpokea. 10 
Mbunge wa jimbo la Moshi Vijijini Mh. Dr. Cyril Chami akizungumza na wananchi katika kijiji cha Mikocheni. 13 
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Leonidas Gama akwasalimia wananchi katika kijiji cha Mikochenzi. 14 

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »