KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA LEO ALIKUWA KIBAKWE, KESHO KUANZA ZIARA KONGWA

March 06, 2015


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Mh. Adam Kimbisa wakisoma maelezo katika moja ya vibao vilivyopo katika mashamba darasa ya mahindi kwenye kituo cha mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa wakulima na wafugaji kilichopo Kibakwe wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma,  wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea kituo hicho na kukagua shughuli za maendeleo zinazofanyika kwenye kituo hicho.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Mh. Adam Kimbisa wakitembelea shamba darasa hilo na kujionea mbegu mbalimbali zilizopandwa katika mashamba hayo. 3 
Mkuu wa mkoa wa Dodoma kapteni mstaafu Chiku Galawa akizungumza na mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi ya Ikuyu Baby Anna John wakati Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa madarasa katika shule hiyo, Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Dr, Jasmine Tisekwa. 6 
Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano  wa hadhara mjini Kibakwe. 14 
Wakina mama wakinyanyua mikono yao juu wakati wa mkutano huo. 15 16 
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa stendi Kibakwe mjini. 17Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Mh. Adam Kimbisa akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa stendi Kibakwe mjini. 18 


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »