Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal
akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA tayari kwa kumpokea Rais wa
Zimbabwe Mh. Robert Mugabe ambaye atafungua mkutano wa Vijana Viongozi
wa Afrika na China unaofanyika kwenye hoteli ya Ngurudoto mkoani Arusha
ukijumuisha vijana kutoka China na nchi za kiafrika. Dr. Gharib Bilal
alipokelewa na katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurlahman Kinana na viongozi
mbalimbali wa mkoa wa Arusha.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA
FULLSHANGWE-NGURUDOTO -ARUSHA)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Kulia ni Ndugu Andulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akiongozana
na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa KIA mkoani Arusha kwa ajili ya mkutano wa
Vijana viongozi wa Afrika na China, Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Ndugu Felix Ntibenda na kutoka kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Steven Masele Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mkutano huo na Sadifa Hamis Juma Mwenyekiti wa UVCCM Taifa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akiongozana
na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa KIA mkoani Arusha, Kulia ni Mkuu wa mkoa wa
Arusha Ndugu Felix Ntibenda
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akiongozana
na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana huku wakiangalia vikundi
vya ngoma mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA mkoani
Arusha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akiongozana
na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana huku wakiangalia vikundi
vya ngoma mbalimbali mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
KIA mkoani Arusha.
EmoticonEmoticon