Rais
mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti
Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa akikaribishwa na Waziri wa nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji,Mh. Ing. Christopher Chiza
wakati alipowasili kwenye Ofisi za Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) leo
Machi 23.Picha zote na Othman Michuzi.
Rais
mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti
Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Prof. Lucian Msambichaka
wakati alipowasili kwenye Ofisi za Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) leo
Machi 23.Kushoto ni Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na
Uwezeshaji,Mh. Ing. Christopher Chiza.
Rais
mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti
Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa akiwasalimia baadhi ya Wafanyakazi wa
Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) waliojitokeza kumpokea wakati
alipowasili.
Rais
mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti
Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa (wa pili kushoto) akizungumza jambo na
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji,Mh. Ing.
Christopher Chiza pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo
cha Uwekezaji nchini (TIC),Prof. Lucian Msambichaka.Kulia ni Mkurugenzi
Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Juliet Kairuki.
Rais
mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti
Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa (wa pili kulia) akizungumza na Uongozi
wa Juu wa Taasisi inayoshughulikia
mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa) pamoja na Kituo
cha Uwekezaji nchini (TIC) kabla ya kuanza kwa hafla ya utiaji saini wa
makubaliano ya kusaidia kuvutia na kuongeza uwekezaji wa ndani na nje
ya nchini baina ya taasisi hizo mbili,uliofanyika leo Machi 23,2015
kwenye ofisi ya TIC jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Prof. Lucian
Msambichaka (aliesimama) akitoa taarifa ya utangulizi kabla ya
kumkaribisha Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na
Uwezeshaji,Mh. Ing. Christopher Chiza kutoa hotuba yake,wakati wa hafla
ya utiaji saini wa makubaliano ya kusaidia kuvutia na kuongeza uwekezaji
wa ndani na nje ya nchini baina ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) na Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa),iliyofanyika leo Machi 23,2015 kwenye ofisi ya TIC jijini Dar es salaam.
Waziri
wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji,Mh. Ing.
Christopher Chiza akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya utiaji saini wa
makubaliano ya kusaidia kuvutia na kuongeza uwekezaji wa ndani na nje ya
nchini baina ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) na Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa),iliyofanyika leo Machi 23,2015 kwenye ofisi ya TIC jijini Dar es salaam.
Rais
mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti
Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa akizungumza wakati wa hafla ya utiaji
saini wa makubaliano ya kusaidia kuvutia na kuongeza uwekezaji wa ndani
na nje ya nchini baina ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) na Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa),iliyofanyika
leo Machi 23,2015 kwenye ofisi ya TIC jijini Dar es salaam.Kulia ni
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji,Mh. Ing.
Christopher Chiza.
Mwenyekiti Mwenza wa Taasisi
inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika
(ICF-Africa),Neville Isdell (aliesimama) akizungumza machache kwenye
hafla hiyo.
Rais
mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti
Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa (kushoto) na Waziri wa nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji,Mh. Ing. Christopher Chiza (wa
pili kulia) wakisaini wa makubaliano ya kusaidia kuvutia na kuongeza
uwekezaji wa ndani na nje ya nchini,wakati wa hafla fupi iliyofanyika
leo Machi 23,2015 kwenye ofisi ukumbi wa Mikutano wa TIC,jijini Dar es
Salaam.Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha
Uwekezaji nchini (TIC),Prof. Lucian Msambichaka (kulia),Mkurugenzi Mkuu
wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Juliet Kairuki pamoja na Mtendaji
Mkuu wa Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa),William Asiko.
Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Juliet Kairuki (kulia) akibadilishana mikataba na Mtendaji Mkuu wa Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa),William Asiko mara baada ya kusainiwa.
Mkurugenzi
Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Juliet Kairuki (kulia)
akizungumza machache wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari
(hawapo pichani) mara baada ya kusainiwa kwa mikataba ya makubaliano ya
kusaidia kuvutia na kuongeza uwekezaji wa ndani na nje ya nchini.Kushoto
ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa),William Asiko.
Sehemu ya Wafanyakazi wa TIC wakiwa kwenye mkutano huo.
Rais
mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti
Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa (wa nne kushoto) akifafanua jambo
wakati wakati wa hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya kusaidia
kuvutia na kuongeza uwekezaji wa ndani na nje ya nchini baina ya Kituo
cha Uwekezaji nchini (TIC) na Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa),iliyofanyika leo Machi 23,2015 kwenye ofisi ya TIC jijini Dar es salaam.
Picha ya Pamoja.
EmoticonEmoticon