Gavana
wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akiwasilisha mada kuhusu
"Exchange Rate Developments in Tanzania and Implications for the
Economy" kwa Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa wakati wa Semina fupi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano
wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam tarehe 18 Machi,
2015. Katika mada yake Prof. Ndulu alielezea pamoja na mambo mengine
umuhimu wa Tanzania kuuza zaidi bidhaa zake nje ili kudhibiti mfumuko wa
bei na kuipandisha thamani Sarafu ya Tanzania dhidi ya sarafu nyingine
hususan Dola ya Marekani, kuimarisha upatikanaji wa fedha za nje kama
dola na kuvutia zaidi wawekezaji nchini. |
EmoticonEmoticon