Waziri Mkuu Mizengo Pinda aweka jiwe la msingi katika mradi wa nyumba za watumishi zililizojengwa na NHC Busokelo

February 28, 2015

Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda akifungua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo leo. mi2 
Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio wakati akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wialaya ya Busokelo, Mbeya. mi4 
Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akisalimiana na Meneja Miradi wa NHC, George Magembe wakati akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wialaya ya Busokelo, Mbeya. mi6 
Baadhi ya watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio wakipokea wageni waliokuwa wakiwasili katika eneo la nyumba za gharama nafuu za watumishi za Busokelo, Mbeya zinazojengwa na Shirika hilo na kuwekwa jiwe la msingi na  Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda. mi7 
Mojawapo ya nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Busokelo zinazojengwa na NHC kama zinavyoonekana leo. mi8 
Mojawapo ya nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Busokelo zinazojengwa na NHC kama zinavyoonekana leo. mi9 
Bango la Kumkaribishs Waziri Mkuu mi10 
Msoma Hotuba  wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Bw. Sanga akisoma hotuba hiyo mbele ya Waziri Mkuu leo. mi11 
Msoma Hotuba  wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Bw. Sanga akisoma hotuba hiyo mbele ya Waziri Mkuu leo. mi13 
Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akijadiliana jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu) na Mbunge wa Rungwe Mashariki , Profesa Mark Mwandosya katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wialaya ya Busokelo.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »