Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Marceline Magesa wa
kwanza kulia akisoma taarifa fupi kwa Waziri wa Ujenzi Dkt. John
Magufuli wa pili kushoto, wanasikiliza ni Katibu Mkuu wa Wizara ya
Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe(wa kwanza kushoto) na kaimu Mkuu wa Mkoa wa
Dar es Salaam Raymond Mushi wa pili kulia .
Mkuu
wa Kamanda la Jeshi la Maji Meja Generali Rogastian Laswai akimuongoza
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli kuingia katika kivuko cha MV.
Dar es Salaam kwa ajili ya safari ya kwanza ya majaribio ya kwenda
Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Waziri
wa Ujenzi Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli kushoto ,akijadiliana jambo na
Mkuu wa Kamanda la Jeshi la Maji Meja Generali Rogastian Laswai (mwenye
unifomu) anayewasikiliza ni kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Raymond
Mushi.
Kivuko cha Mv Dar es Salaam kinavyoonekana kwa ndani chenye uwezo wa kubeba abiria 300.
10
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Evarist Ndikilo akimpokea Waziri wa ujenzi Dkt.
John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili na Mv. Dar es
10
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Evarist Ndikilo akimpokea Waziri wa ujenzi Dkt.
John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili na Mv. Dar es
Kivuko
cha Mv Dar es Salaam kikiwasili katika eneo la Magogoni kwa ajili ya
kuanza safari ya majaribio ya kwenda Bagamoyo mkoani Pwani ambapo kivuko
hicho kina uwezo wa kubeba abiria 300 na kimegharimi fedha za
kitanzania shilingi bilioni 7.9.
EmoticonEmoticon