Afisa
Tawala wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Mussa
Varisanga akielezea jambo wakati wa kikao cha pamoja na washauri kuhusu
masuala ya Kondomu wakati wakijadili Mkatati wa Taifa wa Matumizi ya
Kondomu unaoratibiwa na TACAIDS leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni
Mshauri wa Kimataifa kutoka Uganda Bw.Moses Muwonge
Mshauri
wa Kimataifa kutoka Uganda Bw.Moses Muwonge akizungumza na baadhi ya
maafisa wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (hawapo
pichani) wakati wa kikao cha pamoja kujadili kuhusu Mkatati wa Taifa wa
Matumizi ya Condom unaoratuibiwa na TACAIDS leo jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Mshauri kutoka taasisi ya AMCA Bw. Patrick Kauyamwenge.
Mwakilishi
wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) Dkt. Ngaiza Alex akizungumza
wakati wa kikao cha pamoja baina ya maafisa kutoka Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo na washauri kuhusu masuala ya Kondomu
wakati wakijadili Mkatati wa Taifa wa Matumizi ya Kondomu unaoratibiwa
na TACAIDS leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mshauri wa
Kimataifa kutoka Uganda Bw. Moses Muwoge na Mshauri kutoka taasisi ya
AMCA Bw. Patrick Kauyamwenge.

Habari wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Zawadi
Msalla (katikati) akielezea jambo wakati wa kikao cha pamoja na washauri
kuhusu masuala ya Kondomu wakati wakijadili Mkatati wa Taifa wa
Matumizi ya Kondomu unaoratibiwa na TACAIDS leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Frank Shija, WHVUM
EmoticonEmoticon