Mafundi
wa kampuni ya kuhifadhi mafuta ya Tanzania International Petroleum
Reserves Limited (TIPER), wakitengeneza paa katika moja ya matanki mapya
ya kampuni hiyo, wakati kampuni hiyo ikitarajia kuongeza uwezo wa
kuhifadhi mafuta maradufu baada ya kukamirika kwa ukarabati wa matanki
yake wawili ya mita za ujazo 36,600 kila moja ifikapo machi mwaka huu.
Miongoni
mwa matanki ya kampuni ya ya kuhifadhi mafuta ya Tanzania International
Petroleum Reserves Limited (TIPER) yanayofanyiwa marekebisho, wakati
kampuni hiyo ikitarajia kuongeza uwezo wa kuhifadhi mafuta maradufu
baada ya kukamirika kwa ukarabati wa matanki yake wawili ya mita za
ujazo 36,600 kila moja ifikapo machi mwaka huu
EmoticonEmoticon