Waziri wa nchi Ofisi ya Rais
Profesa Mark Mwandosya akimkaribisha Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki , Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya
Rais kuwasili katika uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
akitokea Nairobi Kenya ambapo alihudhuria mkutano wa kilele wa wakuu wa
nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki.Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo
Dkt.Shukuru Kawambwa.
(picha na Freddy Maro)
EmoticonEmoticon