Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi na kumpongeza
Luteni Usu Edwin Engelbert Kessy wakati wa hafla ya kutunuku kamisheni
maafisa wa jeshi baada kuibuka mwanafunzi bora wakati wa mafunzo ya
maafisa wa jeshi yaliyofanyika katika chuo cha jeshi Monduli mjini
Arusha
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Luteni Usu Edwin
Engelbert Kessy wakati wa hafla ya kutunuku kamisheni maafisa wa jeshi
baada kuibuka mwanafunzi bora wakati wa mafunzo ya maafisa wa jeshi
yaliyofanyika katika chuo cha jeshi Monduli mjini Arusha
Rais
Kikwete akitunuku Kamisheni maafisa wa jeshi katika chuo cha Jeshi huko
Monduli Mkoani Arusha leo.Jumla ya maafisa 171 walitunukiwa kamisheni
wakati wa hafla hiyo.
(picha na Freddy Maro).
EmoticonEmoticon