Kuvuja
kwa mkanda wake wa ngono hakujamzuia Zari ‘the Bosslady’ Tlale
kufurahia muda bora na wanae wakati huu wa likizo za sikukuu za
Christmass. Zari mwenye watoto watatu, ameonesha kutoyumbishwa na
kusambaa kwa mkanda huo na leo amepost picha akiwa na wanae wakifurahia
chakula pamoja.
“Current
situation…… school is closed most offices are closed, time to spend more
quality times togther #HolidayModeActivated,” ameandika Zari kwenye
picha alizoweka kwenye ukurasa wa Facebook.
EmoticonEmoticon