Mahabusu
ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiwa amenasa kwenye ukuta wa
chuma baada ya kupigwa risasi na maaskari wakati alipokuwa akijaribu
kutoroka kwa kuruka ukuta huo katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es
salaam, inadaiwa mahabusu huyo ambaye si raia wa Tanzania alikuwa
anakabiliwa na kesi ya madawa ya kulevya.
Baadhi ya askari na watu mbalimbali wakiangalia tukio hilo lililotokea leo asubuhi katika mahakama ya kisutu
Maaskari wakimtoa kwenye ukuta huo wa chuma
EmoticonEmoticon