Washiriki wa Bunge la Vijana wakifuatilia Mijadala ya Bunge hilo kwa Makini.
Washiriki wa Bunge la Vijana wakifuatilia Mijadala ya Bunge hilo kwa Makini.
Washiriki wa Bunge la Vijana wakifuatilia Mijadala ya Bunge hilo kwa Makini.
Kiongozi
wa Shughuli za Serikali katika Bunge la Vijana ndg. Zacharia Magige
kutoka chuo kikuu cha Mzumbe akiwashukuru wabunge wenzie baada ya jina
lake kuthibitishwa rasmi na Bunge hilo kuwa Waziri Mkuu katika Bunge la
Vijana jana.
Spika
wa Bunge la Vijana Ndg. Edgar Israel akimuapisha aliyechaguliwa kuwa
Naibu Spika wa Bunge hilo Ndg. Mussa Yusufu kutoka chuo cha Elimu ya
Biashara (CBE) kushika nyadhifa hiyo Bungeni jana.
kiongozi
wa kambi ya Upinzani katika Bunge la Vijana Ndg. Alpha Mazengo akiuliza
swali kwa Spika wa Bunge hilo wakati Bunge hilo lilipoketi katika vikao
vyake jana
Spika wa Bunge la Vijana Ndg. Edgar Israel kutoka chuo cha St. John cha Dodoma akiingia Bungeni tayari kwa kuanza kwa Bunge hilo
Mpambe wa Bunge akiweka siwa mezani tayari kwa kuanza vikao vya Bunge la Vijana
Spika
wa Bunge la Vijana Ndg. Edgar Israel kutoka chuo cha St. John cha
Dodoma akisoma dua kabla ya kuanza kwa Bunge hilo mjini Dodoma.
Waliosimama mbele yake ni Makatibu Mezani
Washiriki wa Bunge la Vijana wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa maafisa wa Bunge kabla ya kuanza vikao vya Bunge hilo
Washiriki wa Bunge la Vijana wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa maafisa wa Bunge kabla ya kuanza vikao vya Bunge hilo
Mshauri
Msaidizi wa Maswala ya Sheria wa Bunge Ndg. Matamus Fungo akifafanua
namna Muswada wa Sheria unavyopitia katika hatua mbalimbali Bungeni.
Mkurugenzi
msaidizi kutoka Kamati za Bunge Ndg. Athuman Hussein akifafanua jambo
wakati wa semina ya Maalum kwa Wabunge wa Bunge la Vijana kabla ya
kuanza kwa Bunge hilo Jana
Afisa
wa Bunge Ndg. Patson Sobha akielezea baadhi ya taratibu za kibunge
wakati wa semina kwa Wabunge wa Bunge la Vijana kabla ya kuanza kwa
Bunge hilo jana
EmoticonEmoticon