Toyota
haice yenye namba za usajili T761 CKD iliyokuwa ikitoka wilayani Kahama
kuelekea mjni Shinyanga ikiwa imepinduka katika eneo la Buhangija
manispaa ya Shinyanga na kuuwa watu tisa na kujeruhi wengine tisa,baada
ya kupinduka mara tatu baada ya kuvuka tuta kisha kugonga daraja na
kuangukia mtaroni,chanzo chake ni mwendo kasi ambapo dereva wa gari hilo
Anwar Awadhi mkazi wa Lubaga Shinyanga aliruka na kukimbia.
Gari likitolewa kwenye mtaro ni baada ya kuuwa watu tisa ambapo watano walikufa papo hapo .
Wananchi wakiwa eneo la tukio
EmoticonEmoticon