Mkurugenzi
wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wa jijini Dar
es salaam ,Bw.Moses Malaki (kulia), akizungumza na waandishi wa habari
(hawapo pichani), wakati wa hafla ya kukabidhiwa mabango
yanayotahadharisha wananchi na wageni waingiao na watokao Tanzania
kutojihusisha na shughuli yoyote inayohusiana na ujangili wa wanyama
(kushoto), Mkurugenzi wa WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato.PICHA NA
PHILEMON SOLOMONMkurugenzi
wa WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato akisisitiza jambo kuhusiana na
vyombo vinavyohusika na ulinzi na uangalizi wa rasilimali za nchi.Waandishi
wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere wa jijini Dar es salaam ,Bw.Moses Malaki (meza
kuu kulia), wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi
wa WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato (kulia), akimkabidhi Mkurugenzi
wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wa jijini Dar
es salaam ,Bw.Moses Malaki moja ya mabango hayo.
Uncategories
SHIRIKA LISILOKUWA LA KISERIKALI LINALOJIHUSISHA NA UHIFADHI WA MAZINGIRA NA WANYAMA PORI WORLD WIDE FUND FOR NATURE WWF KUPAMBANA NA UJANGILI NCHINI.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon