Mbunge
wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila akiwa na mai waifu wake Jessica
Kishoa wakijiandaa kukata utepe wa kuingia katika mnuso kwenye ukumbi wa
Annex uliopo Uvinza, Kigoma, jana Jumamosi Novemba 22, 2014
Mhe
David Kafulila akiwa kanisani na mai waifu wake wa Jessica Kishoa
wakati wa kufunga ndoa katika kanisa la Roman Catholic katika Parokia
ya uvinza, Kigoma, jana Jumamosi Novemba 22, 2014
Mhe
David Kafulila na mai waifu wake Jessica Kishoa pamoja na wapambe wao
Mhe. Deo Filikujombe na mke wake Sarah Filikunjombe wakipeleka keki kwa
wazazi wa bwana harusi
Baadhi
ya Waheshimiwa Wabunge waliopamba harusi ya Mhe. David Kafulila katika
picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Mhe Deo Filikunjombe. Mhe.David
Kafulila ambaye ndiye Bw. Harusi, Mhe Zitto Kabwe na Mhe David
Silinde. Picha zote na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma
EmoticonEmoticon