Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bariadi Mashariki, John
Cheyo kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 27, 2014. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge Anne Makinda akizungumza, Bungeni Mjini Dodoma Novemba 27, 2014. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bariadi Mashariki, John
Cheyo kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 27, 2014. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Maswa Magaribi, John Cheyo,
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 27, 2014. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole-
Sendeka kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 27, 2014. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati) na Mbunge wa Lshoto,
Henry Shekifu kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 27,
2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon