Baadhi
ya wajumbe wa kikao cha ushauri cha Mkoa wa Manyara, (RCC) wakifuatilia
kikao hicho kilichofanyika jana mjini Babati na kuongozwa na Mkuu wa
mkoa huo Elaston Mbwilo.
Ofisa
elimu wa Mkoa wa Manyara, Ibrahim Mbang'o na baadhi ya wajumbe
wakifuatilia jambo kwenye kikao cha ushauri cha mkoa huo (RCC)
kilichofanyika jana mjini Babati.
Mkuu
wa Wilaya ya Hanang' Mkoani Manyara, Christina Mndeme (kulia) na Mkuu
wa Wilaya ya Mbulu, Anatory Choya, wakiwa kwenye kikao cha kamati ya
ushauri ya mkoa huo (RCC) kilichofanyika jana mjini Babati
EmoticonEmoticon