Afisa
Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani kushoto Akimkabidhi Msaada wa
Kompyuta Mkuu wa Chuo Kikuu teule cha Marian Father Luke Mbefo ambapo
Kompyuta hizo zitatumika katika Kuhifadhi Nyaraka mbalimbali za Maktaba
Mkuu
wa Chuo Kikuu teule cha Marian Father Luke Mbefo kulia akimshukuru
Afisa Mahusiano wa PSPF Bi. Coleta Mnyamani kwa msaada huo
Mwakirishi
wa Shirika la Roho Mtakatifu Father Nicetas Kyara akitoa neno la
Shukurani Baada ya kukabidhiwa msaada wa Kompyuta Mbili za kisasa kutoka
Mfuko wa Pensheni wa PSPF
Afisa Mahusiano wa PSPF Bi. Coleta Mnyamani akizungumza neno Baada ya kukabidhi Msaada huo
Afisa
wa Fedha kutoka PSPF Bwana Samwel Haule Akizungumza Jambo wakati wa
Makabidhiano wa Kompyuta hizo katika Chuo Kikuu teule cha Marian
Mkuu
wa Chuo teule cha Marian Father Luke Mbefo wakiteta Jambo na Afisa
Mahusiano wa Pspf Bi Coleta Haule Baada ya Kukabidhi Msaada huo
Picha ya Pamoja ya Viongozi wa PSPF na Chuo Kikuu teule cha Marian
Kulia
ni Meneja wa Pwani wa PSPF Msafiri S. Mugaka akimkabidhi Kompyuta 10
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Ukutubi,Uhifadhi wa Kumbukumbu na
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania Dkt. Ally S.
Mcharazo kwa niaba ya chuo hicho
Meneja
wa Pwani wa PSPF Msafiri S. Mugaka akizungumza na wanafunzi wa Chuo
cha Ukutubi,Uhifadhi wa Kumbukumbu pamoja na wagani waalikwa wakati wa
kukabidhi msaada huo wa kompyuta 10 za kisasa
Rais wa Chuo cha Chuo cha Ukutubi,Uhifadhi wa Kumbukumbu Daudi Joho akitoa neno la Asante Baadhi ya Kukabidhiwa Msaada huo
Mbele ni Maofisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF
Mwenyekiti
wa Baraza la Chuo cha Ukutubi,Uhifadhi wa Kumbukumbu na Mkurugenzi Mkuu
wa Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania Dkt. Ally S. Mcharazo akitoa
neno la Shukurani
Baadhi ya wanafunzi wakisoma Vipeperushi vya PSPF
Wanafunzi wakiwa wanafuatilia kwa makini
………………………………………………………………
Mfuko wa pensheni wa PSPF waendelea kukuza elimu ya Tehama
katika vyuo mbalimbali hapa nchini kwa kutoa msaada wa jumla ya kompyuta
12 katika chuo cha Ukutubi Uhifadhi wa Nyaraka Bagamoyo na chuo Teule
ambacho kitakuwa kikiendeshwa chini ya saint augustine’s university
(SAUTI) ambapo kompyuta kumi (10) zimetolewa katika chuo cha Ukutubi
Uhifadhi wa Nyaraka na Mbili zimetolewa katika chuo teule cha cha
Mariana university College vyote vilivyopo bagamoyo katika mkoa wa
pwani.
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo afisa mahusiano wa
PSPF Bi. Coletha Mnyamani amesema zoezi hilo limeanza lakin halitaishia
hapo kwani ni zoezi endelevu kwani wameamua kusaidia jamii hususani kwa
wanafunzi ilikuweza kuwajengea ujuzi katika masomo yao pamoja na
kutunza nyaraka zao kisasa na sio katika makaratasi kama ilivyo kuwa
hapo zamani
Kwaupande wake Meneja wa Wa PSPF Mkoa wa Pwani Bw.Msafiri S Mugaka amesema kuwa wameweza kutimiza ahadi waliyo ahidi kwa chuo cha Ukutubi Uhifadhi wa Nyaraka na kuweza kutoa msaada kwa chuo teule cha Mariana university College Hivyo wawaomba wananchi kuiamini na kuendelea kuwa wanafamilia wa mfuko huo wa pensheni
Naye Mwenyekiti wa Baraza la chuo cha Ukutubi Uhifadhi wa Nyaraka na mkurugenzi wa wa Bodi ya Huduma za Maktaba –Tanzania Ally Mcharazo kilichopo Bagamoyo wakati akipokea msaada huo kutoka kwa maafisa wa mfuko wa PSPF makao makuu Dar es saalam Amesea wanatoa shukrani kwa Mfuko huo kwani umeweza kuwasogeza katika huduma za kisasa kwa kuwapelekea kompyuta hizo nyaraka zote zitakuwa zikitunzwa katika hali iliyo salama na sio katika hali ya kizamani na kazi kuenda kwa haraka zaidi kwani kompyuta husaidia katika kuokoa muda kazini.
Pia Bw.Samweli Haule ambaye ni afisa Wa Fedha Wa Mfuko Wa Pensheni wa PSPF Aliweza kutoa maneno ya kuwaasa wanafunzi kwa kuwa makini na wao hawata choka kutoa msaada pindi wanapo kuwa wamekwama ili kuweza kuwaweka wanafunzi wote katika hali ya kisasa zaidi
Mkuu wa Chuo cha Mariana university College Father Luke Mbefo pia naye aliweza kushukuru Mfuko wa PSPF kwa kuona umuhimu wa kuweza kusaidia upande wa elimu kwa kuchangia kwa aina mbalimbali bila kuchoka na kuchagua rangi wala dini
Hivyo Mfuko wa Pensheni PSPF Umetoa wito kwa wananchi pamoja na vyuo mbalimbali kwakuwa wao wapo kwamoyo kwaajili ya wananchi na kuhakikisha kuweza kuikomboa elimu yetu kwa kuipelekea wepesi zaidi katika hali ya udigitali kuachana na analogia,kwani huop ni mwanzo tu mambo mengine yatafuata tena mazuri kutoka PSPF

EmoticonEmoticon