MATUKIO YA PICHA KWENYE KIKAO CHA RCC JANA,

October 11, 2014
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Luteni Mstaafu Chiku Gallawa akiwaeleza jambo wajumbe wa kikao cha kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) jana wakati wa kikao hicho ambacho kilifanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Salum Chima na kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga(CCM)na Mbunge wa Jimbo la Lushoto Henry Shekifu
 Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini,Stephen Ngonyani "Maji Marefu" akisisitiza jambo kwenye kikao cha Kamati ya Ushauri  ya Mkoa(RCC)jana wakati akiipongeza kiwanda cha Tanga Cement kwa kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo kwenye jimbo lake,Picha na Oscar Assenga,Tanga.


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »