Makamua
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya kuchangia
Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika,
iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jana usiku Oktoba 9, 2014 jijini
Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti, Mkurugenzi Mtendaji wa ITV na Redio One, Joyce
Mhavile, wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya kuchangia
Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika,
iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, jana usiku
Oktoba 9, 2014. Picha na OMR

Baadhi ya wadau, wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo.
EmoticonEmoticon