Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mawaziri mbali mbali wakati alipowasili katika Ikulu
ya Comoro kwa mazungumzo na Rais wa Nchi hiyo Dr. Ikililou Dhoinine jana
akiwa katika ziara ya kiserikali.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Comoro Dr.Ikililou Dhoinine Ikulu Mjini Comoro jana,Dk.Shein yupo Comoro
kwa ziara ya kiserikali akiwa na ujumbe aliofuatana nao.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Comoro Dr.Ikililou Dhoinine
(katikati) wakiwa katika mazungumzo ya pamoja na ujumbe wa Rais na
Viongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Comoro Ikulu Mjini
Comoro jana katika ziara ya kiserikali akiwa na ujumbe aliofuatana
nao.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akifuatana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Comoro Dr.Ikililou
Dhoinine baada ya mazungumzo Ikulu Mjini Comoro jana,akiwa
katika ziara ya kiserikali na ujumbe aliofuatana nao.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiteta na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Comoro
Dr.Ikililou Dhoinine Ikulu Mjini Comoro jana, wakati wa chakula cha
jioni kilichoandaliwa kwa ujumbe Serikali ya Mapinduzi ukiwa katika
ziara Nchini Comoro. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
EmoticonEmoticon