Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza mjadala ndani ya Bunge hilo leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akisoma taarifa Bungeni hap oleo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Evod Mmanda akisoma taarifa yake bungeni hapo leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
EmoticonEmoticon