Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenela
Mukangala yuko nchini China katika ziara ya kuangalia maendeleo ya Sekta
ya Utangazaji na kuimarisha ushirikiano katika sekta ya Utangazaji kati
ya Tanzania na China.
Katika ziara hiyo
ameongozana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Sihaba Nkinga, Mkurugenzi
Mkuu wa TBC Bw. Clement Mshana na Mkurugenzi wa Utangazaji TCRA Bwana
Habbi Gunze.
EmoticonEmoticon