Mwakilishi wa Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya
Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko (kushoto) akisalimiana na baadhi ya
Wanamichezo waliokuwa kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola mjini
Glasgow Scotland mara walipowasilia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana.
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya
Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Juliana
Yassoda akiwaelekeza jambo baadhi ya Wanamichezo waliwakirisha Tanzania
kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola mjini Glasgow Scotland mara
walipowasilia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es Salaam jana.
Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki
Tanzania (TOC) Bw. Filbert Bayi akifurahia jambo na baadhi ya
wanamichezo walikuwa wamewakilisha nchini katika mashindano ya Jumuiya
ya Madola mjini Glasgow Scotland mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya
Utamaduni wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa
Hermas Mwansoko Akizungumza kwa niaba ya Serikali na wanamichezo
waliokuwa kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola mjini Glasgow Scotland
mara wakati wa hafla fupi ya mapokezi iliyofanyika Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam jan.Kulia ni Katibu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania
(TOC) Bw. Filbert Bayi.
Katibu wa Kamati ya Olimpiki
Tanzania (TOC) Bw. Filbert Bayi akizungumza na wanamichezo waliokuwa
kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola mjini Glasgow Scotland wakati wa
hafla fupi ya mapokezi iliyofanyika jana katika Ukumbi uliopo Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam.wa tatu kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko, Kaimu Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Michezo Bibi. Juliana Yassoda na Meneja wa Uwanja wa Taifa
Bw. Rish Urio
Mwakilishi wa Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya
Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko akikabidhiwa Bendera ya Taifa na
Kapteni wa Timu ya Taifa iliyoshiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola
Bw. Seleman Kidunda, mara baada ya kurejea nchini jana jijini Dar es
Salaam. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya
Michezo Bibi. Juliana Yassoda, Meneja wa Timu hiyo Muharami Mchume na
Katibu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) Bw. Filbert Bayi
Baadhi ya wanamichezo walioshiriki
mashindano ya Jumuiya ya Madola mjini Glasgow Scotland, wakiwa nje ya
uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere mara baada ya kuwasili
nchini jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanamichezo walioshiriki
mashindano ya Jumuiya ya Madola mjini Glasgow Scotland, wakifuatilia
hotuba kutoka kwa viongozi mbalimbali (hawapo pichani)wakati wa hafla
fupi ya mapokezi na kuwakaribisha iliyofanyika jana jijini Dar es
Salaam.
PICHA ZOTE NA FRANK SHIJA
Kitengo cha Mawasiliano SerikaliniI
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
PICHA ZOTE NA FRANK SHIJA
Kitengo cha Mawasiliano SerikaliniI
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
EmoticonEmoticon