Baadhi
ya ng’ombe wanaofugwa kwa ajili ya uzalishaji wa maziwa kwenye kiwanda
cha MilkCom Dairies Ltd kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Zaidi
ya ng’ombe 15,000 wanafugwa katika kiwanda hicho kwa ajili ya
uzalishaji wa bidhaa zinazotokana na maziwa zikiwemo maziwa na mtindi.
(Picha na Georgina Misama)
|
EmoticonEmoticon