Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara (kulia)
ambaye pia ni mmoja wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba akibadilishana
mawazo na mjumbe mwenzie leo 28 Agosti, 2014 katika eneo la Bunge mjini
Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba wakitoka ndani ya Bunge leo 28 Agosti, 2014 mjini Dodoma.
EmoticonEmoticon