Mke
wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya
Lindi mjini Mama Salma Kikwete akiangalia kinu cha kusindika unga wa
mhogo kinachomilikiwa na Tawi la Mkumbara katika Kata ya Jamhuri tarehe
27.8.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ngongo iliyoko Lindi Mjini tarehe 27.8.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ngongo iliyoko Lindi Mjini tarehe 27.8.2014.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasalimia watoto baada ya kulitembelea
Tawi la Mtanda lililoko katika Kata ya Jamhuri huko Lindi Mjini mara
baada ya kufanya kikao cha ndani katika Tawi hilo tarehe 27.8.2014.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasalimia watoto baada ya kulitembelea
Tawi la Mtanda lililoko katika Kata ya Jamhuri huko Lindi Mjini mara
baada ya kufanya kikao cha ndani katika Tawi hilo tarehe 27.8.2014.Picha na John Lukuwi
EmoticonEmoticon